Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari Vijana Utamaduni na Michezo,
Elisante ole Gabriel (kushoto) akishikana mikono na Mkurugrenzi wa
Kampuni ya 4Beli
Gilbert Herman baada ya kuzindua Tamasha la Kihistoria la Bagamoyo Wilayani Bagamoyo, Pwani . Anayeangalia ni Katibu Tawala wa Wilaya ya Bagamoyo John Mhali.
Gilbert Herman baada ya kuzindua Tamasha la Kihistoria la Bagamoyo Wilayani Bagamoyo, Pwani . Anayeangalia ni Katibu Tawala wa Wilaya ya Bagamoyo John Mhali.
Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Habari, Vijana Utamaduni na Michezo, Elisante ole Gabriel akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa Tamasha la Kihistoria la Bagamoyo uliyofanyika Bagamoyo, Mkoani Pwani. Wengine kutoka kushoto ni Katibu Msaidizi wa Shirikisho la Riadha Tanzania, Mama Ombeni Zavala, Ofisa Elimu wa Mkoa wa Pwani, Yusuf Kipengele aliyekuwa akimwakilisha mkuu wa mkoa huo. Katibu Tawala wa Wilaya ya Bagamoyo John Mhali na Mkurugenzi wa 4Beli Gilbert Herman.
Katibu Tawala wa Wilaya ya Bagamoyo John Mhali alizungumza katika hafla ya uzinduzi wa Tamasha la Kihistoria la Bagamoyo
Ofisa Elimu wa Mkoa wa Pwani Yusuf Kipengele aliyekuwa akimwakilisha mkuu wa mkoa huo, akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi.
Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya 4Beli Deogratius Soka (kulia) akisoma hotuba
No comments: