Barcelona apata ushindi wa kishindo akiwa nyumbani dhidi ya kibonde Celta Vigo. Neymar alianza karamu ya mabao dakika ya 6 kabla ya Messi kuongeza la Pili dakika ya 30.
Kapatia Barcelona Magoli 2.
Messi noma apiga goli 1 na kufikisha jumla ya magoli 22 katika ligi.
No comments: