Sevilla imeendeleza kumuongezea machungu Real Madrid baada yakumtandika 2-1 katika Ligi Kuu. Mchezaji anayelipwa zaidi Dunia alikuwa wakwanza Kuiandikia Wageni dakika ya 14 kabla ya wenyeji kusawaazisha dakika 5 mbele.
REAL MADRID YADORORA YAPIGWA MBILI NA SEVILLA

No comments: