
Wananchi wakimuangalia mgambo wa Manispaa ya Ilala wakati akichukua magazeti katika moja ya meza Posta mpya jijini Dar es Salaam. Jiji la
Dar es Salaam upo katika operesheni kabambe ya kusafisha jiji hilo kwa
kuwaondoa wafanyabiashara wanaofanya biashara ndogo ndogo maeneo
yasioruhusiwa wilaya zake zote za Ilala, Temeke na Kinondoni.

Mgambo wa Manispaa ya Ilala akiwa amebeba magazeti.

Mgambo wa Manispaa ya Ilala akiwa amebeba magazeti wakivunja moja ya toroli la Kampuni ya TSN katika operesheni safisha jiji maeneo ya Posta mpya Dar es Salaam. Operesheni hiyo inafanyika mkoa wa Dar es Salaam kwa kuzihusisha wilaya zake zote za Ilala, Temeke na Kinondoni.

Mgambo wakiondoa kibanda cha Kampuni ya Simu Tigo.

Askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU), wakiimarisha ulinzi wakati wa oparesheni hiyo.

Eneo la Posta Mpya .

Wafanya biashara wa Stendi ya Daladala Mwenge jijini Dar es Salaam wakiwa hawana lakufanya wakiangalia zoezi la bomoa bomoa likiendelea.

No comments: