Hofu imetanda jijini Arusha baada ya bomu kulipuka maeneo ya Mianzini usiku huu, jumla ya watu 6 wamefariki dunia na majeruhi kuwahishwa hospitali. Bomu hilo limelipuka jirani na Night Park
BOMU LALIPUKA ARUSHA USIKU HUU

Posted by: Unknown Posted date: 11:13 PM / comment : 0
Hofu imetanda jijini Arusha baada ya bomu kulipuka maeneo ya Mianzini usiku huu, jumla ya watu 6 wamefariki dunia na majeruhi kuwahishwa hospitali. Bomu hilo limelipuka jirani na Night Park
Tagged with: Habari
No comments: