Sunday, June 22, 2025

ads

Slider[Style1]

Style2

Style3[OneLeft]

Style3[OneRight]

Style4

Style5

Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT), Profesar Benno Ndulu akikata utepe kuzindua kitabu cha ripoti ya utafiti Tanzania katika masuala ya uchumi uliofanyika leo Aprili 2, 2014 katika ukumbi wa Makao Makuu ya Benki Kuu ya Tanzania jijini Dar es Salaam.
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT), Profesar Benno Ndulu akiongoza wageni waalikwa kuonyesha kitabu cha utafiti mara baada ya kumaliza kuzindua.
Wageni waalikwa waliohudhuria katika mkutano huo wa kutangaza ripoti ya utafiti Tanzania katika masuala ya uchumi.
Wageni waalikwa waliohudhuria katika mkutano huo wa kutangaza ripoti ya utafiti Tanzania katika masuala ya uchumi.
Wageni waalikwa waliohudhuria katika mkutano huo wa kutangaza ripoti ya utafiti Tanzania katika masuala ya uchumi.
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT), Profesar Benno Ndulu akizungumza katikamkutano na waandishi wa habari leo Aprili 2, 2014 katika ukumbi wa Makao Makuu ya Benki Kuu ya Tanzania jijini Dar es Salaam mara baada ya kumaliza kuzindua ripoti ya utafiti Tanzania katika masuala ya uchumi iliyotolewa na taasisi ya Financial Sector Deepening Trust (FSDT). Katikati ni Mkurugenzi wa Ufundi wa taasisi ya Financial Sector Deepening Trust (FSDT), Sosthenes Kewe na Mtakwimu Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Slyvia Meku.
Waandishi wa habari waliohudhuria katikamkutano na waandishi wa habari leo Aprili 2, 2014 katika ukumbi wa Makao Makuu ya Benki Kuu ya Tanzania jijini Dar es Salaam mara baada ya kumaliza kuzindua ripoti ya utafiti Tanzania katika masuala ya uchumi iliyotolewa na taasisi ya Financial Sector Deepening Trust (FSDT).
Mkurugenzi wa Ufundi wa taasisi ya Financial Sector Deepening Trust (FSDT), Sosthenes Kewe akikazia jambo.
Mtakwimu Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Slyvia Meku akieleza waandishi wa habari (hawapo pichani) jinsi utafiti huo ulivyofanyika na kupata matokeo. Mkutano huo ulifanyika leo Aprili 2, 2014 katika ukumbi wa Makao Makuu ya Benki Kuu ya Tanzania jijini Dar es Salaam. Katikati ni Mkurugenzi wa Ufundi wa taasisi ya Financial Sector Deepening Trust (FSDT), Sosthenes Kewe na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT), Profesar Benno Ndulu

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
KATIBU MKUU WA CCM KINANA ATEMBELEA WANANCHI WAISHIO KANDO KANDO YA BANDARI YA KASANGA, WILAYA MPYA YA KALAMBO MKOANI RUKWA
»
Previous
RATIBA: KIKAPU NCHINI MAREKANI

No comments:

Post a Comment


Top