Mratibu wa Mtandao wa Utepe Mweupe Kitaifa (The White Ribbon Alliance), Rose Mlay akimjulia hali mmoja wa akinamama aliyejifungua katika wodi ya wazazi katika Kituo cha Afya Kibiti.
Mratibu wa Mtandao wa Utepe Mweupe Kitaifa (The White Ribbon Alliance), Rose Mlay akitambulishwa kwa baadhi ya wahudumu katika wodi ya wazazi kwenye Kituo cha Afya Kibiti leo alipotembelea kuangalia mwenendo wa utoaji huduma za dharura katika kituo hicho
Jengo ambalo ni chumba cha upasuaji linalotoa huduma za dharura kwa wajawazito katika Kituo cha Afya Kibiti.
Mmoja wa akinamama aliyepatiwa huduma za uzazi katika Kituo cha Afya Kibiti kinachotoa huduma za dharura kwa akinamama wajawazito akizungumzia msaada wa huduma hiyo kwa wajawazito.
Mganga Mfawidhi wa Kituo cha Afya Kibiti, Chagi Jonas Lymo akizungumza na mwandishi wa habari wa Kituo cha ITV alipotembelea kituo hicho pamoja na Mtandao wa Utepe Mweupe Kitaifa (The White Ribbon Alliance).
Baadhi ya akinamama wakipatiwa huduma katika kituo cha afya Kibiti

No comments: