
Fatma Mohamed Meneja msaidizi wa kampuni ya RAN IT Solution Limited na Lugumi Enterprises za jijini Dar es salaam akikabidhi kompyuta 5 kwa Mkuu wa wilaya ya Kibaha Mh. Halima Kihemba kwa ajili ya shule ya sekondari ya Pangani wakati wa makabidhiano yaliyofanyika shuleni hapo leo mjini Kibaha ambapo pia mwakilishi huyo alikabidhi kiasi cha fedha Taslimu shilingi milioni 10,000,000 kwa ajili ya kununulia vifaa vya maabala katika shule hiyo katikati ni Mkuu wa shule hiyo Inocencia Mfuru

Fatma Mohamed Meneja msaidizi wa kampuni ya RAN IT Solution Limited na Lugumi Enterprises za jijini Dar es salaam akikabidhi fedha taslimu shilingi milioni 10,000,000 kwa Mkuu wa wilaya ya Kibaha Mh. Halima Kihemba kwa ajili ya kununulia vifaa vya maabara katika shule hiyo katikati ni Mkuu wa shule hiyo Inocencia Mfuru

Fatma Mohamed Meneja msaidizi wa kampuni ya RAN IT Solution Limited na Lugumi Enterprises za jijini Dar es salaam akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wanafunzi wa shule hiyo mara baada ya makabidhiano.

No comments: