ads

Slider[Style1]

Style2

Style3[OneLeft]

Style3[OneRight]

Style4

Style5

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akionyeshwa na Mkutubi wa Jiji, Lusekelo Mwalugelo, Gazeti la Mambo Leo la Mwaka 1923 ambalo ni moja kati ya magazeti ya zamani, wakati alipokuwa akitembelea katika mabanda ya maonyesho kwenye sherehe za maadhimisho ya miaka 50
  ya Bodi ya Huduma za Maktaba Tanzania, yaliyofanyika kwenye viwanja vya Maktaba Kuu ya Taifa jijini Dar es Salaam.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akionyeshwa baadhi ya vitabu na Ofisa Mauzo na Masoko wa Kampuni ya Mture Educational Publishers Ltd, Bupe Mwasaga, wakati alipokuwa akitembelea katika mabanda ya maonyesho kwenye sherehe za maadhimisho ya miaka 50 ya Bodi ya Huduma za Maktaba Tanzania.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akionyeshwa Moja ya kitabu cha kuhifadhi kumbukumbu chenye picha ya Baba wa Rais Jakaya Kikwete, Mrisho Kikwete, wakati alipokuwa akitembelea katika mabanda ya maonyesho kwenye sherehe za maadhimisho ya miaka 50 ya Bodi ya Huduma za Maktaba Tanzania.
  .
 Baadhi ya wanafunzi waliojitokeza kuhudhuria sherehe hizo wakiisomea vitabu, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho hayo.

 Baadhi ya wadau waliohudhuria sherehe hizo.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimtunukia cheti Mama Kaunga kwa kutambua mchango wa, wakati alipokuwa akitembelea katika mabanda ya maonyesho kwenye sherehe za maadhimisho ya miaka 50 ya Bodi ya Huduma za Maktaba Tanzania.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal akizindua Katalogi ya Kieletriniki wakati wa sherehe za maadhimisho ya miaka 50 ya Bodi ya Huduma za Maktaba Tanzania, yaliyofanyika kwenye viwanja vya Maktaba Kuu ya Taifa jijini Dar es Salaam.
Picha ya pamoja na Wadau waliotunukiwa vyeti.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment


Top