ads

Slider[Style1]

Style2

Style3[OneLeft]

Style3[OneRight]

Style4

Style5


Edin Dzeko (10) akiifungia City bao la tatu 

 
 Manchester City imeendelea kuonyesha dhamira yake ya kunyakua taji la Ligi Kuu England, baada ya mapema leo kuifumua bila huruma Southampton kwa kuicharaza mabao 4-1.
Bao la dakika tatu lililofungwa na Mwanasoka Bora wa Afrika, Yaya Youre kwa mkwaju wa penati, liliwashtusha wageni kabla ya kulirejesha dakika ya 37 kupitia Rickie Lambert pia kwa penati.

Samir Nasir aliiongezea Man City bao dakika ya 40 kwa pasi ya David Siliva na dakika nne ya nyongeza Edin Dzeko alifunga bao la tatu akimalizia kazi nzuri ya Kolarov.
Bao lililowewanyong'onyesha Southampton lilizalimishwa kwenye dakika ya 81 na Jovetić akimalizia kazi ya Jesus Navaz.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment


Top