MCHUMI DARAJA LA II (ECONOMIST GRADE II)
MCHUMI DARAJA LA II (ECONOMIST GRADE II) – (NAFASI 23)
Nafasi hizi ni kwa ajili ya Katibu
Mkuu Wizara ya Afrika Mashariki, Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya nje na
Ushirikiano wa Kimataifa, Katibu Mtendaji Ofisi ya Rais Tume ya Mipango
na Katibu Mkuu Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia .
2.1 MAJUKUMU YA KAZI
Kuhudumia kamati mbalimbali za Bunge (Kamati za mahesabu ya Serikali, Kamati ya mahesabu ya mashirika ya Umma)
Kukusanya takwimu na taarifa
mbalimbali za kiuchumi kwa ajili ya uchambuzi na uandaaji wa sera na
mipango ya kiuchumi na kijamii
Kufanya utafiti na uchambuzi wa sera na vigezo vya kiuchumi jumla
Kufanya utafiti na kubainisha fursa zilizopo katika sekta husika
Kutayarisha na kusambaza takwimu na taarifa za kiuchumi kwa wadau
2.2 SIFA ZA MWOMBAJI
Kuajiriwa wenye shahada ya kwanza ambao wamejiimarisha (major) katika mojawapo ya fani zifuatazo;
Uchumi (Economics)
Takwimu (Statistics )
Sayansi ya Uchumi Kilimo (BSc
Agriculture Economics & Agribusness) kutoka Chuo Kikuu cha Dar es
Salaam, Chuo Kikuu cha Sokoine au Chuo kingine chochote kinachotambuliwa
na Serikali na wenye ujuzi wa kutumia kompyuta

No comments: