ads

Slider[Style1]

Style2

Style3[OneLeft]

Style3[OneRight]

Style4

Style5

 Mr. Silvester Manyara (Meneja wa Simu za mkononi wa Samsung Tanzania) akiwaonyesha waandishi wa habari jinsi simu mpya inavyopima mapigo yake ya moyo. Pembeni yake ni Mr. Kishor Kumar (Meneja wa kitengo cha simu na mambo ya teknohama wa Samsung Tanzania)
Mr. MR. DONGHA JANG (Mkurugenzi Mtendaji wa Samsung Tanzania) akionyesha Simu mpya ya Samsung galaxy S5 wakati wa uzinduzi wa simu hiyo. Pembeni yake ni Mr. Kishor Kumar (Meneja wa kitengo cha simu na mambo ya teknohama wa Samsung Tanzania)
  Team ya Samsung Tanznia Bw. Silvester Manyara, Bw. Jang na Bw. Kishor Kumar kwenye picha ya pamoja wakionyesha Simu mpya ya Galaxy S5 iliyozinduliwa rasmi Dar es Salaam
Waandishi wa habari pamoja na wateja wakishuhudia uzinduzi wa simu mpya ya Samsung galaxy S5

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment


Top