
Duka la Magari
(showroom) iliyokuwa karibu na eneo la Mlimani City barabara ya
Samnujoma jijini Dar es Salaam imeteketea kwa moto na kusababisha hasara
ambayo bado haijafahamika, ambapo mpaka sasa chanzo cha moto huo
hakijafahamika.

Posted by: Unknown Posted date: 6:14 PM / comment : 0
Tagged with: Habari
No comments: