ads

Slider[Style1]

Style2

Style3[OneLeft]

Style3[OneRight]

Style4

Style5


120409164427 jp mali.gallery nocredit 4a3c3

Waziri mkuu nchini Mali Oumar Tatamy Ly pamoja na baraza lake la mawaziri wamejiuzulu, miezi minane tu baada ya demokrasia kurudi nchini humo kufuatia udhibiti wa eneo la kazkazini uliotekelezwa na wanamgambo wa kiislamu. Mabadiliko katika serikali yalitarajiwa kufanyika ,lakini mwandishi wa BBC katika mji mkuu wa Mali Bamako,anasema kuwa kiwango cha mabadiliko hayo hakikutarajiwa.
Waziri mkuu mpya ,Moussa Mara amekuwa mpinzani mkuu wa rais Boubakr Keita hapo awali.
Bwana Mara aliye na umri wa miaka 39 amekuwa akiitaka serikali kuimarisha usalama katika eneo la kazkazini la nchi hiyo.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment


Top