Vikosi
vua ulinzi na usalama vikiwa katika mazoezi makali kwenye uwanja wa
Uhuru leo kwa ajili ya maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania
ulioasisiwa na Baba wa Taifa Mwalimu Julius K. Nyerere na Mzee Abeid
Amani Karume waliounganisha Tanganyika na Zanzibar mwaka 1964 na kuwa
Tanzania huru , Sherehe hizo zitaadhimishwa Aprili 26 mwaka huu kwenye
uwanja wa Uhuru Mgeni rasmi akiwa Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya
Muungano ya Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA
FULLSHANGWE-DAR ES SALAAM)Katibu Mkuu Kiongoziwa Tano kutoka kulia ni Naibu Katibu Mkuu Kiongozi Dr. Frolence Turuka wa nne kutoka kulia na maafisa mbalimbali wa majeshi ya ulinzi na usalama wakijumuika pamoja kushuhudia mazoezi hayo ya vikosi vya ulinzi na usalama kwenye uwanja wa Uhuru.
Mazoezi ya vikosi hivyo yakiendelea.Kikosi cha Askari wa msituni kikifanya mazoezi ya kutoa heshima kwa Amiri jeshi mkuu.Kikosi cha makomandoo kikitoa heshimaPicha mbalimbali zikionyesha vikosi vya zana mbalimbali za kivita vikifanya mazoezi ya kutoa heshima kwa mgeni rasmi Amiri Jeshi Mkuu.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
No comments: