Ajali mbaya iliyotokea majira ya saa 11 jioani maeneo ya ubungo lango kuu mabasi yatokayo mikoani. Lori lafeli break na kusababisha uharibifu mkubwa wa magari na watu kuumia vibaya
Ajali imehusishamagari 6 likiwemo UDA. Mpaka muda haijajulikana idadi kamili ya waliopoteza maisha
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
No comments: