
Waziri wa Maji Maji Profesa.Jumanne Maghembe, akiweka jiwe la msingi
kuashiria kuzindua rasmi kisma cha bomba la maji katika kijiji cha
Kwadelo Halmashauri Wilaya ya Kondoa Machi 20, 2014 sambamba na maadhimisho ya kilele cha wiki ya maji dunia ambapo kitaifa yana fanyikia Mkoani Dodoma (kulia kwake), Mbunge wa Jimbo la Kaskazini Kondoa Mhe: Zabeini Mhita. kauli mbiu ni uhakika wa maji na nishati.

Profesa.Jumanne Maghembe akipanda mti baada ya kuzindua mradi wa maji.

Waziri wa Maji Maji Profesa.Jumanne Maghembe akimtwisha ndoo ya maji mkazi wa kijiji cha Kwadelo Bi.Hawa Athuman baada ya kuzindua rasmi kisima cha bomba la maji.

Waziri wa Maji Maji Profesa.Jumanne Maghembe pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Enjinia Bashir Mrindoko wakihutubia wakazi wa kijiji cha Kwadelo Halmashauri Wilaya ya Kondoa sambamba na maadhimisho ya kilele cha wiki ya maji dunia ambapo kitaifa yana fanyikia Mkoani Dodoma

Wakazi wa kijiji cha Kwadelo Halmashauri Wilaya ya Kondoa wakishuhudia uzinduzi wa mradi wa mji.

Wakazi wa kijiji cha Kwadelo Halmashauri Wilaya ya Kondoa wakishuhudia uzinduzi wa mradi wa mji.
No comments: