Azam imeendelea kujikita kileleni mwa Ligi Kuu ya Tanzania Bara kufuatia ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Mgambo JKT Uwanja wa Mkwakwani, Tanga. Ushindi huo unaifanya Azam ifikishe pointi 50 baada ya kucheza michezo 22.
Mabao ya Azam yalifungwa na washambuliaji wake, John Bocco dakika ya 63 na Brian Umony dakika ya 82
AZAM MOTO CHINI YAWARAMBISHA VIWILI MAAFANDE

No comments: