
Vijana wakisaidia kulikwamua gari la Polisi, lililokwama katika shimo
lililokuwa halionekani kutokana na maji kujaa katika njia nyingi za
barabara eneo la Kiwalani jijini Dar es Salaam, kutokana na mvua kubwa
zinazoendelea kunyesha jijini.

Vijana wakijipatia ajila ya ghafla kusaidia kulitoa gari lililozama kutokana na mvua zinazoendelea jijini.

Mmiliki wa gari lenye namba za usajili T 684 BEG, akiangalia gari lake lililoangukiwa na mti nje ya Hospitali ya Kairuki, kutokana na mvua iliyonyesha jijini Dar jana.
Mkazi wa Msasani, akitoka nje ya nyumba yake baada ya kujaa maji.

No comments: