Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein
akifungua pazia kuashiria uzinduzi wa Mradi wa Umeme katika Kijiji cha
Ukunjwi Mkoa wa Kaskazini Pemba
Baadhi
ya wananchi wa Kijiji cha Ukunjwi na Vitongoji jirani na wafanyakazi
wa Shirika la Umeme Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein alipokuwa
akizungumza baada ya kuzindua rasmi Mradi wa Umeme katika Kijiji hicho
kiliopo Mkoa wa Kaskazii Pemba
Wanafunzi
wa Skuli ya Ukunjwi Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba,
wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dkt. Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza na wananchi baada ya kuzindua
rasmi Nishati hiyo
Naibu
Katibu wa Mkuu wa Wizara ya Ardhi,Maji na Nishati Mustafa Aboud Jumbe
Mwinyi,akisoma Ripoti ya Wizara wakati wa uzinduzi rasmi wa Mradi wa
Umeme katika Kijiji cha Ukunjwi Mkoa wa Kaskazini Pemba
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Ukunjwi na Vijiji Jirani wakati wa sherehe za uzinduzi wa Mradi wa Umeme uliofanyika Kijijini hapo Mkoa wa Kaskazini Pemba.
RAIS SHEIN AZINDUA MRADI WA UMEME KIJIJI CHA UKUNJWI KASKAZINI PEMBA

No comments: