Ikiwa imesaliwa na mechi 7 mkononi Klabu ya Bayern Munich imetwaa taji la Ligi Kuu ya Ujerumani, maarufu kama Bundesliga baada ya kuifunga Hertha Berlin mabao 3-1.
Toni Kroos aliwaindikia goli la Kwanza dakika ya 6 ya mchezo, kabla ya Gotze kugunga la Pili dakika ya 14 kipindi cha kwanza. Ribery alipigilia msumari wa mwisho dakika ya 79, goli la kufutia machozi kwa wenyeji lilifungwa kwa njia ya penati na Ramos dakika ya 66 baada yakufanyiwa madhambi ndani ya eneo la hatari.
MATOKEO MENGINEBorussia Dortmund 0 - 0 Schalke 04
Eintracht Braunschweig 3 - 1 Mainz 05
Werder Bremen 1 - 3 Wolfsburg
BAYERN MUNICH YATWAA UBINGWA NA MECHI 7 MKONONI

No comments: