Bondia Mussa Mchopanga kushoto akionesha ufandi wa kutupa makonde kwa
Azizi Swalehe wakati wa michuano ya mashindano ya Klabu bingwa ya ngumi
mkoa wa Dar es salaam Mchopanga alishinda kwa K,O ya raundi ya kwanza.
Bondia Azizi Swalehe akiwa chini baada ya kupigwa konde zito na Mussa Mchopanga aliyesimama Mchopanga alishinda kwa K,O ya raundi ya kwanza picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
No comments: