ads

Slider[Style1]

Style2

Style3[OneLeft]

Style3[OneRight]

Style4

Style5

Jakaya-Kikwete1
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amefanya uteuzi wa Makamishna wa Uhamiaji kujaza nafasi mbalimbali zilizokuwa wazi.
Walioteuliwa katika uteuzi huo ni:
1. Bw. John Raphael Choma, ambaye ameteuliwa kuwa Kamishna wa Uhamiaji, Divisheni ya Chuo cha Kikanda cha Taaluma ya Uhamiaji Tanzania (TRITA) kilichopo Mjini Moshi;

2. Bw. Dawson Emil Mongi, kuwa Kamishna wa Uhamiaji, Divisheni ya Pasipoti, Uraia na Utaifa.

3. Bw. Abdullah Khamis Abdullah, kuwa Kamishna wa Uhamiaji, Divisheni ya Usimamizi na Uthibiti wa Mipaka.

4. Bw. Said Abeid Kamugisha, kuwa Kamishna wa Uhamiaji, Divisheni ya Huduma za Sheria.

5. Bi. Victoria L.M. Lembeli, kuwa Kamishna wa Uhamiaji, Divisheni ya Visa, Pasi na Vibali.

Kabla ya kuteuliwa kwao, Makamishna hawa walikuwa Manaibu Kamishna wa Uhamiaji, na uteuzi wao unaanzia tarehe 18 Februari, 2014.


Imetolewa na:
Isaac J. Nantanga
MSEMAJI,
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment


Top