Hat trick ya Robin van Persie umewavusha Manchester United kwa hatua robo fainali. Iliwabidi wasubiri hadi dakika ya 25
kuweza kupata bao la kwanza kwa njia ya penati, baada van Persie kufanyiwa madhambi eneo la hatari, dakika ya 46 akiifungia tena goli la pili na kufanya matokeo kuwa 2-2 baada ya awali kule Ugiriki. Hakuishia hapo kipindi cha pili walirudi kwa kasi na kuwapelekea kuandika goli la tatu kwa faulo safi. Kwa matokeo hayo Man U imesonga mbele kwa jumla ya magoli 3-2.
TUTA: Jose Holebas akimfanyia madhambi na kupelekea muamuzi kuamuru faulo iliyozaa penati
AJALI KAZINI: Valencia alipata uvimbe juu ya jicho
USHINDI RAHA: Leo na nguvu ya kukimbia ilikuwepo bwana
RAHA: Ferguson akishuhudia ushindi
OYOOOOO WELBACK MALIZIA: Ni shangwe tu baada ya kufunga goli la pili




No comments: