Michuano ya Europa inaendelea tena kwa siku ya leo.
Valencia, Lyon, Benfica na Real Betis ni kama wamejihakikishia kuingia robo fainali kutoka na ushindi wa awali. Matokeo ya awali kwa wote AZ Alkmaar walifungwa 1-0 na Anzhi, Valencia iliibuka na ushindi wa magoli 3-0 dhidi ya Ludogorets, Lyon wakiwa nyumbani walishinda 4-1 dhidi ya Plazen, Tottenham waliruhusu 3-1 dhidi ya Benfica, mechi dhidi ya Fiorentina na Juventus matokeo ni 1-1, Napoli ilifungwa 1-0 na Porto, Real Betis ilishinda 2-0 nyumbani kwa Sevilla na FC Basel SV Salzburg hakukuwa na mbabe 0-0
Anzhi vs
AZ Alkmaar
Valencia vs
Ludogorets
Plazen vs
Lyon
Benfica vs
Tottenham
Fiorentina vs
Juventus
Napoli vs
FC Porto
Real Betis vs
Sevilla
SV Salzburg vs
FC Basel
RATIBA: EUROPA LEAGUE KUENDELEA LEO

No comments: