Klabu ya Mbeya City imefanikwa kuondoka na pointi 3 muhimu baada
yakufanikiwa kuwafunga wapinzani wao wa jadi Prisons. Bao pekee la Mbeya
City leo limefungwa na Paul Nonga dakika ya kwanza tu ya mchezo na sasa
timu hiyo ya Halmashauri ya Jiji la Mbeya inatimiza pointi 45 baada ya
kucheza mechi 23.
Mama wewe nitoe yote tu
Picha na Lameck Ba Snai
MATOKEO MENGINE
Kagera Sugar 0 Ruvu Shooting 0
Mtibwa Sugar 3 Coastal Union 1 na
JKT Ruvu 3 Rhino Rangers 1
No comments: