ads

Slider[Style1]

Style2

Style3[OneLeft]

Style3[OneRight]

Style4

Style5

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Kiongozi wa Ujumbe wa Mabalozi wa Nchi za Jumuiya ya Ulaya nchini Filiberto CERIANI SEBREGONDI
, walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi kwa mazungumzo.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Ujumbe wa Mabalozi wa Nchi za Jumuiya ya Ulaya nchini ukiongozwa na Filiberto CERIANI SEBREGONDI,(wa pili kulia)walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi kwa mazungumzo.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiongozana na Kiongozi wa Ujumbe wa Mabalozi wa Nchi za Jumuiya ya Ulaya nchini Filiberto CERIANI SEBREGONDI,baada ya mazungumzo yao Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi kwa mazungumzo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Ujumbe wa Mabalozi wa Nchi za Jumuiya ya Ulaya nchini walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi baada ya mazungumzo yao.
Picha na Ramadhan Othman Ikulu.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment


Top