
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia mamia ya Watanzania
waishio Uingereza alipokutana nao usiku wa Machi 30 2014 katika ukumbi
wa Sattavis Patidar Centre Wembley, London aliko katika ziara ya
kiserikali ya siku tatu kwa mwaliko wa Waziri Mkuu wa Uingereza Mhe
David Cameron.


Sehemu ya Watanzania hao waishio Uingereza walihudhuria mkutano huo.
Picha na IKULU
No comments: