
Rais
wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinuzi Dkt. Ali Mohamed Shein na Kaimu Balozi
wa
Marekani Nchini Tanzania Bibi Virginia Blaser,wakikata utepe kuzindua
barabara 5 za mradi

Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinuzi Dkt. Ali Mohamed Shein na Kaimu Balozi wa
Marekani Nchini Tanzania Bibi Virginia Blaser kwa pamoja wakibonyeza kitufe
kuashiria uzinduzi rasmi wa Bara bara 5 za Mradi katika Mkoa wa Kaskazini Pemba
ambazo zimejengwa kwa ufadhili wa Mfuko wa Changamoto za Millenia wa Watu wa
Marekani (MCC) hafla iliyofanyika leo katika uwanja wa Gombani wilaya ya Chake
chake Pemba.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinuzi Dkt. Ali Mohamed Shein akisalimiana na
Mtendaji Mkuu wa Kitengo cha
Changamoto za Milenia Tanzania Bw.Bernard S.Mchomvu katika uzinduzi wa Mradi wa
Barabara 5 zilizojengwa na Mfuko huo wa
MCC Mkoa wa Kaskazini Pemba

Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinuzi Dkt. Ali Mohamed Shein na Kaimu Balozi wa
Marekani Nchini Tanzania Bibi Virginia Blaser(kushoto) wakipata maelezo ya
ramani ya michoro ya ujenzi kutoka kwa Mkurugenzi
wa miradi ya Usafirishaji (MCA-T) Eng Salum I.H.Sasillo, alipofika kuzindua
Barabara 5 za Mradi Mkoa wa Kaskazini Pemba zilizojengwa kwa udhamini wa Mfuko
wa MCC.

Barabara ya Chwale-Likoni
ni moja ya barabara zilizozinduliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinuzi Dkt. Ali Mohamed Shein ikiwa tayari kwa matumizi ya wananchi wa Mkoa
wa Kaskazini Pemba ambayo imetengenezwa na Kampuni ya h.yang ltd ya nchini Kenya kwa udhamini wa Mfuko wa MCC.

Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinuzi Dkt. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Kaimu Balozi wa Marekani Nchini Tanzania
Virginia Blaser alipowasili katika uzinduzi wa Barabara 5 za Mradi katika Mkoa wa Kaskazini Pemba.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinuzi Dkt. Ali Mohamed Shein na Kaimu Balozi wa Marekani Nchini
Tanzania Bibi Virginia Blaser,wakifuatana baada ya kufanya uzinduzi wa barabara
5 za mradi katika Mkoa wa Kaskazini
Pemba ikiwa ni Kipangani-Kangani, Chwale –Likoni, Mzambrauni
Takao-Pandani, Finya- Mzambarauni, Karimu-Finya- Mapofu na Bahanasa –Daya Mtambwe. Mkoa
wa Kaskazini Pemba ambazo zimejengwa kwa ufadhili wa Mfuko wa Changamoto za
Millenia MCC.

Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinuzi Dkt. Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza na
wananchi katika shrerehe za Uzinduzi rasmi wa barabara 5 za mradi katika Mkoa wa Kaskazini Pemba,ambazo zimejengwa kwa
ufadhili wa Mfuko wa Changamoto za Millenia MCC.

Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Pemba
waliohudhuria katika sherehe maalum za Uzinduzi wa Barabara 5 za
Mradi,zilizojengwa kwa ufadhili wa Mfuko wa MCC,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein,wakati alipowahutubia leo
katika uwanja wa Gombani Wilaya ya Chake Chake Pemba.

Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinuzi Dkt. Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza na
wananchi katika shererehe za Uzinduzi rasmi wa barabara 5 za mradi katika Mkoa wa Kaskazini Pemba,ambazo zimejengwa kwa
ufadhili wa Mfuko wa Changamoto za Millenia MCC.
Picha na
Ramadhan Othman Ikulu
No comments: