ads

Slider[Style1]

Style2

Style3[OneLeft]

Style3[OneRight]

Style4

Style5

Mwanaharakati Ussu Malya akiongoza Mjadala wa wanawake na katiba uliojadili masuala muhimu ya wanawake katika Rasimu ya Pili ya Katuiba Mpya,leo katika ofisi za Tamwa.

 Mtoa mada wa mjadala huo Halima Sherriff akitoa mada ya namna ya kutetea haki ya usawa wa kijinsia
 Mtoa mada wa mjadala huo Halima Sherriff akitoa mada ya namna ya kutetea haki ya usawa wa kijinsia.
Mtoa mada wa mjadala huo Asseny Muro akisisitiza juu ya mada za mijadala mbalimbali
Mjadala wa wanawake na katiba uliojadili masuala muhimu ya wanawake katika Rasimu ya Pili ya Katuiba Mpya , Mjadala huo ulifanyika katika ukumbi wa Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania(TAMWA)Uliowashirikisha wahariri wa habari na wanaharakati nchini, Mjadala huo umeandaliwa na Mtandao wa Wanawake na Katiba ukiratibiwa na Taasisi ya Mfuko wa Wanawake nchini (Women Fund)ulihusisha asasi mbalimbali za watetezi wa haki za wanawake na watoto ikiwa ni pamoja na TAMWA,Chama cha Wanasheria Wanawake (TAWLA) Mtandao wa Jinsia (TGNP)Tanzania woman Cross Part (TWCP-ULINGO)

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment


Top