ads

Slider[Style1]

Style2

Style3[OneLeft]

Style3[OneRight]

Style4

Style5

Inaweza ikawa kawaida kwa mashabiki na wapenzi wa mpira lakini ni tofauti kwa kocha wa Arsenal, Mfaransa Arsene Wenger
kuelekea mechi ya leo klabu yake iliamua kumzawadia tuzo ya dhahabu kwa kufikisha jumla ya michezo 1000 tangu awasili.
                  New arrival: Wenger was an unknown when he turned up at Highbury in September 1996
 Kwa mara ya kwanza katika uwanja uliokuwa unamilikiwa na klabu ya Arsenal, Highbury

Mwenyekiti wa Arsenal, Sir Chips Keswick amemkabidhi Wenger tuzo hiyo leo asubuhi katika viwanja vya mazoezi ya klabu mbele ya Waandishi wa Habari.

                        
Wenger akiwa na Mtendaji Mkuu, Ivan Gazidis (kushoto) na Mwenyekiti Sir Chips Keswick (kulia) baada ya kupokea tuzo yake

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment


Top