Ajali hii imeyotokea usiku wa kuamkia leo jumamosi katika daraja la
mto Kanoni barabara iendayo Bandarini kwenye manispaa ya Bukoba, Gari
hilo ndogo ainaya Toyota yenye namba za usajili T 910 CTC, ambalo
mmiliki wake hajajulikana.
Japo katika eneo la tukio mwananchi mmoja alisikika akisema ni mali ya Askari Polisi ambae hakumtaja jina, Mtandao huu ulifika kwenye kituo cha Polisi kujilidhisha na tulikutana na Bw Magayane ambae ni msaidizi katika kitengo cha Usalama Barabarani alikiri kuwa na Tarifa za ajali hiyo na kusibitisha kuwa hakuna aliyeumia, na nilipotaka kujua mmiliki wa Gari hili alisema hawamjui wapo katika jitihada za kumtambua.
No comments: