Bao pekee la Sascha Moelders limeipa ushindi wa 1-0 Augsburg na
kumaliza wimbi la mabingwa wa Ulaya, Bayern Munich kucheza mechi 53 bila
kufungwa katika Bundesliga. Bao hilo pekee lililowazamisha Bayern ambao
tayari wamefanikiwa kutetea taji la Bundesliga lilifungwa na Moelders
dakika ya 31.
Mfungaji wa bao pekee la Augsburg, Sascha Moelders akishangilia baada ya kufungaBayern inabaki na pointi zake 78 baada ya kucheza mechi 29,ambazo haziwezi kufikiwa na timu nyingine yoyote katika ligi hiyo.

MATOKEO MENGINE
Eintracht Frankfurt | 2 - 0 | Mainz 05 | |
Nurnberg | 0 - 2 | Borussia Monchengladbach | |
VfB Stuttgart | 2 - 0 | Freiburg | |
Werder Bremen | 1 - 1 | Schalke 04 | |
Borussia Dortmund | 2 - 1 | Wolfsburg |
No comments: