Kikosi cha Simba kilichoanza leo.
Kikosi cha Kager Sugar leo.
Simba SC leo imelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na wenyeji Kagera Sugar Uwanja wa Kaitaba, Bukoba.
Simba SC ilitangulia kupata bao kupitia kwa Zahor Pazi dakika ya 45 na Kagera Sugar wakawasazisha kupitia kwa Themi Felix dakika ya 51.
Simba SC inafikisha pointi 37 na kuendelea kubaki nafasi ya nne
No comments: