Wakali wa kundi la mafikizolo usiku wa kuamkia leo wakipiga show
ndani ya Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar, Nyomi ya watu ilifurika
ukumbini kuwashuhudia wakali hawa wa mafikizolo.
Wakali wa kundi la mafikizolo wakiwa kwa stage ni makamuzi tu.
Jamaa Akifanya Yake
Mashabiki wa Mafikizolo wakicheza moja ya wimbo ndani ya Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar, Usiku wa kuamkia leo.
No comments: