Penati mbili zilifungwa na Messi na goli lakujifungwa linaendelea
kuwafanya wawe karibu na kinara wa msimamo kwa tofauti ya pointi 1.
Alifunga penati hizo dakika za 15 na 85 za vipindi tofauti baada ya goli
la pili iliwatumia dakika moja wageni kupata goli la kufutia machozi
kupitia kwa Castro dakika ya 68.
Wageni waliwazadia wenyeni goli la tatu dakika ya 67 baada ya beki wake, Figueras kujifunga Sanchez alikuwa katika kiwango kizuri kwenye mechi hiyo.
No comments: