Klabu ya Real Madrid imefanikiwa kupata ushindi wake wa kwanza baada
ya vipigo mfululizo katika La Liga na kufufua mbio za ubingwa. Wakiingia
uwanjani bila ya mchezaji wao nyota Cristiano Ronaldo, walianza
kuandika bao la kwanza kupitia kwa Illarramendi dakika ya 45. Hadi
wanaenda mapumziko mgeni alikuwa mbele kwa goli 1-0.
Kipindi cha pili kilikuwa cha neema kwa Real Madrid baada yakukwamisha magoli matatu kupitia kwa mchezaji ghali Dunia Bale dakika ya 62, Pepe dakika ya 85 na Moratta kuhitimisha kalamu hiyo ya magoli dakika ya 88.
No comments: