
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mstaafu Damian Lubuva
(wa kwanza kushoto) akitoa risala kabla ya kupiga kura katika uchaguzi
mdogo wa ubunge jimbo la Chalinze kwa waadishi wa habari katika ukumbi
halmashauri ya mji wa Bagamoyo. Katikati ni Makamu Mwenyekiti wa Tume ya
Taifa ya Uchaguzi Jaji Mstaafu Hamid Mahmuod na wa kwanza kulia ni
Mjumbe wa Tume hiyo Prof. Amon Chaligha.

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mstaafu Damian Lubuva (wa kwanza kulia) akisisitiza jambo wakati kisoma risala kabla ya kupiga kura katika uchaguzi mdogo wa ubunge jimbo la Chalinze kwa waadishi wa habari katika ukumbi halmashauri ya mji wa Bagamoyo. Na wa kwanza kushoto ni Mjumbe wa Tume hiyo ambaye pia ni Jaji wa Mahakama ya Afrika Mashariki John Joseph Mkwawa.

Mkuu wa wilaya ya Bagamoyo Ahmed Kipozi akimsikiliza Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mstaafu Damian Lubuva (hayupo pichani) wakati kisoma risala siku moja kabla ya siku ya kupiga kura katika uchaguzi mdogo wa ubunge jimbo la Chalinze kwa waadishi wa habari katika ukumbi halmashauri ya mji wa Bagamoyo.

Baadhi ya waandishi wa habari na wajumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi wakimsikiliza Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mstaafu Damian Lubuva wakati akisoma risala moja kabla ya kupiga kura katika uchaguzi mdogo wa ubunge jimbo la Chalinze ikiwa ni utaratibu uliwekwa na tume hiyo kabla ya uchaguzi.
Picha na Eleuteri Mangi
No comments: