Klabu ya Chelsea imefanikiwa kurudi kileleni mwa msimo wa ligi baada yakuwachapa Stoke City magoli 3-0. Ikiwa na kumbukumbu yakufungungwa katika kombe la Mabingwa Ulaya, Chelsea walianza mchezo kwa kasi na kufanikiwa kuandika goli la kwanza kupitia Salah dakika 32, hadi mapumziko Chelsea alikuwa mbele kwa goli moja.

Hureeeeeeeeeeeee
Kipindi cha pili kilianza kwa kasi na bahati ilikuwa kwa Chelsea na kufanikiwa kupata goli la pili dakika ya 61 toka kwa Lampard, William alihakikisha wenyeji wanapata pointi zote 3 baada yakufunga goli la tatu na la mwisho dakika ya 72.MATOKEO MENGINE:
Norwich City 0 Weat Bromwich 1
Cardiff City 0 Crystal Palace 3
Hull City 1 Swansea City 0
Aston Villa 1 Fulham 2
No comments: