Juan Mata amefunga mabao mawili likiwemo moja la mpira wa adhabu na kutoa mchango mkubwa katika ushindi wa Manchester United wa mabao 4-0 dhidi ya Newcastle United Uwanja wa St James' Park katika mchezo wa Ligi Kuu ya England.

Nipishe
Mata alifunga dakika ya 39 na 50 wakati mabao mengine yakafungwa na Javier Hernandez dakika ya 64 na Adnan Januzaj dakika ya 90 na sasa Manchester United inapanda hadi nafasi ya sita katika msimamo wa Ligi Kuu ya England kwa kufikisha pointi 57 baada ya kucheza mechi 33.

No comments: