Klabu ya FC Porto imeutumia vizuri uwanja wake wa nyumbani baada yakuchomoza na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Sevilla hatua ya robo fainali.
Dakika ya 31 beki na kapteni wa Porto Mangala, alikwambisha mpira wazuni kwa kichwa. Wiki mbili zijazo watarudiana nchini Hispania kwa kukamilisha mechi ya pili.
MATOKEO: FC PORTO YAWAFUNGA SEVILLA 1-0 HATUA YA ROBO FAINALI

No comments: