Klabu ya Benfica ya nchini Ureno imefanikwa kuwafunga wenyeji wake AZ
Alkmaar ya nchini Uholanzi goli 1-0 katika robo fainali ya kwanza
Europa.
Salvio alifunga goli hilo dakika ya 49 na kuwapelekea wenyeji kuwa na kibarua kizoto mechi ya marudiano nchini Ureno wiki ijayo.
MATOKEO: BENFICA YAWAPIGA WAHOLANZI 1-0 ROBO FAINALI RAUNDI YA KWANZA

No comments: