Klabu ya Real Madrid imeutumia vyema uwanja wake wa nyumbani baada yakumtandika Borussia Dortmund magoli 3-0. Bale alianza kuwaandikia goli dakika ya 4 baada yakupokea pasi toka kwa Benzema.
MATOKEO: MADRID YATANGULIZA MGUU MMOJA ROBO FAINALI

No comments: