ads

Slider[Style1]

Style2

Style3[OneLeft]

Style3[OneRight]

Style4

Style5

 Kikundi cha ngoma toka Jeshi la Kujenga Taifa kikitumbuiza kwenye uzinduzi wa maonyesho ya miaka 50 ya Muungano katika viwanja vya Mnazi mmoja
Mgeni Rasmi wa maonyesho ya miaka 50 ya Muungano ,Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Seif Sharif Hamad akitoa hutuba ya ufunguzi wa maonyesho hayo katika viwanja vya Mnazi mmoja jijini Dar es Salaam.
Chungu na kibuyu vilivyotumika na waasisi wa Muungano kuchanganya udongo mwaka 1964, vinapatikana katika banda la Ofisi ya Makamu wa Rais.
Mgeni Rasmi wa maonyesho ya miaka 50 ya Muungano ,Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Seif Sharif Hamad akiwa ndani ya Banda la Ofisi ya Makamu wa Rais akipata maelekezo juu ya chungu na vibuyu vilivyotumika kuchanganya udongo wakati wa Muungano wa Tanganyika na Zanziabr mwaka 1964
Wananchi mbalimbali waliojitokeza kutemebelea banda la Ofisi ya Makamu wa Rais wakiangalia majarida mbalimbali bandani hapo na kusaini kitabu cha wageni.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment


Top