ads

Slider[Style1]

Style2

Style3[OneLeft]

Style3[OneRight]

Style4

Style5

Meli ya China inayofanya kazi ya kutafuta ndege ya Shirika la Ndege la Malaysia iliyopotea maeneo ya Kusini mwa Bahari ya Hindi imepata ishara inayodaiwa kutoka kwenye ndege hiyo, vimesema vyombo vya habari vya China.Vilisema ishara hiyo ilikuwa na marudio ya frikwensi ya 37.5kHz kwa sekunde ambayo ni sawa na ile iliyozalishwa na kinasa sauti cha ndege. Hata hivyo hakuna ushahidi hadi sasa kama inahusika moja kwa moja na ndege hiyo H370.
Dazeni ya meli na ndege zimeungana kutafuta ndege hiyo, huku operesheni hiyo ikiwa katika kuingia kwa kina katika awamu nyingine ya kutafuta kabla ya betri ya kurekodi data kufifia.
 A white floating object spotted by Chinese air force in the southern Indian Ocean today

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment


Top