ads

Slider[Style1]

Style2

Style3[OneLeft]

Style3[OneRight]

Style4

Style5

Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta ametangaza rasmi majina mengine ya ziada ya wajumbe wapya wa Kamati ya Uongozi ya Bunge hilo. Majina hayo yametangazwa leo na Makamu Mwenyekiti wa Bunge hilo, Samia Hassan Suluhu mjini Dodoma kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mwenyekiti wa Bunge hilo.
Taarifa hiyo ilieleza kwamba Mwenyekiti huyo amefanya uteuzi huo, ili kuleta muafaka kwa kushirikisha wadau kutoka uwakilishi wa upinzani, ambao hawakuweza kuchaguliwa kwenye kamati 12 za Bunge hilo. Makamu Mwenyekiti wa Bunge hilo aliyataja majina hayo kuwa ni Freeman Mbowe, Abubakar Khamis Bakari, Fatma Abdulhabib Fereji, Nakazael Lukio Tenga na Amon Mpanju

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment


Top