ads

Slider[Style1]

Style2

Style3[OneLeft]

Style3[OneRight]

Style4

Style5

Watu watatu wanashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoani Dodoma kwa kufanya mkusanyiko usio halali huku wakiwa wamebeba mabango yanayohamasisha uvunjifu wa amani.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) David Misime alisema tukio hilo lilitokea jana katika maeneo mawili tofauti.

Aliwataja waliokamatwa katika tukio hilo ni Augustino Pancras (60), mkazi wa Kilimani, Cosmas Katebeleza (44), mkazi wa Kikuyu na Jotam Tarukundo (44) mkazi wa Chidachi.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment


Top