Mkurugenzi wa Wateja Binafsi na wa Kati wa Benki ya CRDB, Nelia Ndosa kushoto na Mkurugenzi wa benki hiyo Mkoa wa Morogoro Pendo Issey katikati wakiwa wameshikilia kombe walilokabidhiwa na Mkuu wa Mkoa huo, Joel Bendera hayupo pichani wakati wa utoaji wa tuzo za Heshima za ULUGURU kulia ni mfanyakazi wa benki hiyo.
Wafanyakazi wa Benki ya CRDB Mkoa wa Morogoro wakiwa wameshikilia kombe walilokabidhiwa na Mkuu wa Mkoa huo wakati wa kupokea zawadi za Heshima zilizotolewa na ULUGURU AWARD.

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera (katikati), akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa Benki ya CRDB pamoja na kombe lao.

Wafanyakazi wa Benki ya CRDB Mkoa wa Morogoro wakiserebuka wakati wa kupokea zawadi ya Heshima iliyotolewa na ULUGURU AWARD.
Mkurugenzi wa Wateja Binafsi na wa Kati wa Benki ya CRDB, Nelia Ndosa (kushoto), na Mkurugenzi wa benki hiyo Mkoa wa Morogoro, Pendo Issey katikati wakisalimiana na mteja wa benki hiyo wakati wa kupokea zawadi ya, ULUGURU AWARD kutokana na benki hiyo kuthamini na kutoa mchango mkubwa kwa wananchi wa Mkoa huo.


Mkurugenzi wa Wateja Binafsi na wa Kati wa Benki ya CRDB, Nelia Ndosa kushoto akiwa na Mkurugenzi wa Benki hiyo Mkoa wa Morogoro Pendo Issey.

No comments: