ads

Slider[Style1]

Style2

Style3[OneLeft]

Style3[OneRight]

Style4

Style5

 photo1
Mkuu wa Idara ya Bima wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Bi. Kemibaro Omuteku (wa tatu kushoto) akiwa na baadhi ya maofisa wa benki hiyo wakionyesha vipeperushi ikiwa ni ishara ya kuzindua huduma ya Bima ya Bure ya Mkopo jijini Dar es Salaam jana. Kutoka kushoto ni; Mkuu wa Idara ya Mikopo, Andrew Lyimo, Meneja Bima ya Maisha, William Mapela na Mkuu wa Idara ya Mauzo, Mongateko Makongoro.
photo2
Mkuu wa Idara ya Mikopo wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Andrew Lyimo, (kulia) akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa huduma ya Bima ya Bure ya Mkopo  jijini Dar es Salaam.  Kushoto ni Mkuu wa Idara ya Bima wa NBC, Bi. Kemibaro Omuteku

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment


Top