Gari aina ya RAV 4 ambayo haikuweza kufahamika mara moja namba za usajili kutokana na mmiliki wake baada ya ajali hiyo hakuweza kuongea lolote zaidi ya kulia, imeteketea kwa moto kutokana leo Aprili 9, 2014 katika barabara ya Ali Hassan Mwinyi jijini Dar es Salaam.
Katika ajali hiyo hakuna mtu aliyefariki wala kujeruhiwa.
Mabaki ya gari hiyo
Muonekanao wa gari hilo kwa nyuma.
No comments: